Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Blog

Gadiel Michael anaweza kucheza TP Mazembe -Mwinyi Zahera

  Jana Mwinyi Zahera alipata nafasi ya kufanya mahojiano na Global Online TV . Mahojiano ambayo yaliibua masuala mbalimbali , moja ya kitu ambacho kiliibuka ni suala is Gadiel Michael na Ibrahim Ajib. Alipoulizwa kuhusu Ibrahim Ajib na Gadiel Michael kutopata nafasi kwenye kikosi cha Simba ukilinganisha na nafasi ambazo...
Blog

Walininyima pesa za kumsajili Morrison – ZAHERA

  Mwinyi Zahera alipata nafasi ya kuitazama timu yake ya zamani ya Yanga kwenye mechi yao ambayo waliyocheza dhidi ya Mbeya City katika uwanja wa Taifa na mechi ikaisha kwa sare ya 1-1. Katika mechi hiyo goli la Yanga lilifungwa na Bernard Morrison mchezaji ambaye amesajiliwa kipindi cha kocha wa...
Blog

Molinga ni bonge la Mshambuliaji – Zahera

Kwenye mazungumzo ya Leo kati ya Global Online TV na aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga , Mwinyi Zahera amedai kuwa hashangazwi na kiwango cha David Molinga kuwa na magoli 7. Kwake yeye siyo kitu cha ajabu kumuona David Molinga akiwa ndiye mchezaji anayeongoza kwa kufunga magoli mengi katika timu...
Ligi Kuu

Simba ya Sven haina mpinzani mikoani !

Mara ya mwisho kucheza na Mtibwa Sugar ilikuwa siku ambayo kulitokea sintofahamu kwenye klabu ya Simba baada ya kufungwa na Mtibwa Sugar kwenye michuano na Mapinduzi na Mohammed Dewji kutaka kujivua nafasi ya uenyekiti wa bodi ya Simba.
1 14 15 16 17 18 79
Page 16 of 79