Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Blog

Arsenal kama Yanga , Yamrudisha Arteta

Baada ya Yanga kuonekana ina kasi kubwa kwenye usajili kwa kuwaleta wachezaji mbalimbali kwenye kikosi chao ili kujiimarisha vyema kwenye kikosi chake hatimaye Arsenal naye amejibu mapigo. Arsenal imemrudisha Mikel Arteta kwenye kikosi chake kama kocha mkuu wa timu hiyo. Mikel Arteta aliwahi kuwa mchezaji wa Arsenal , na kabla...
Blog

Milioni 50 zamrudisha Dante Yanga

Balaa la GSM lianzidi kuonekana, limesajili wachezaji wapya ndani ya kikosi cha Yanga ili kukiimarisha kikosi cha klabu hiyo kubwa barani Afrika. Leo hii tena GSM wamefanya balaa jingine jipya. Baada ya Andrew Vincent "Dante" kuwagomea Yanga kwa muda mrefu akidai ada ya uhamisho ya thamani ya milioni 50, lakini...
Blog

Patrick Aussems kajipendekeza kwetu -YANGA

Kukiwa na taarifa ya aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Simba , Patrick Aussems kuchukuliwa na klabu ya Yanga kuwa kocha mkuu kuchukua nafasi ya Mwinyi Zahera , Yanga wamedai Patrick Aussems ndiye aliyejipendekeza kwao. Akizungumza na kituo cha Habari cha Wasafi FM , Afisa Habari Wa Yanga ,...
Blog

YANGA yamsajili ndugu yake DROGBA

Harakati za kuijenga Yanga kwenye dirisha dogo la usajili zinaendelea kwa kasi kubwa. Jana tumeshuhudia Ditram Nchimbi akisaini na klabu hiyo Leo hii pia Yanga wanafanya kitu ambacho ni kufuru. Mshambuliaji toka Ivory Coast , Yikpe Gramien amewasili Dar es Salaam na kupokelewa na mkurugenzi wa mashindano ya Yanga  ....
Blog

Aliyemfukuzisha ZAHERA naye AFUKUZWA

  Muda umepita tangu aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera kufukuzwa na klabu ya Yanga. Klabu ambayo awali alijenga urafiki ambao ulionekana kufikia hatua ya hatua ya undugu. Lakini Baada ya kufungwa na Pyramid FC kwenye mechi ya kombe la shirikisho barani Afrika na kutolewa kwenye michuano hiyo...
Blog

Haruna Niyonzima amerudi tena Bongo

Kiungo mtaalamu na fundi wa mpira Haruna Niyonzima amerudi tena katika Ligi Kuu Bara, baada ya kulamba donge nono katika usajili wa dirisha dogo. Nahodha wa Rwanda mwenye mafanikio makubwa katika kunyakua vikombe vya ubingwa wa VPL amerudi tena katika klabu ya Yanga baada kusainiwa akitokea AS Kigali ya kwao...
Blog

YANGA yala matapishi yake!, yamrudisha NIYONZIMA

Baada ya kuondoka na kwenda upande wa pili , upande ni wa upinzani mkubwa kwa Yanga,  yani upande wa Simba, klabu ya Yanga inaonekana kumrudisha tena Haruna Niyonzima katika kikosi chake. Amekaa nje ya Yanga kwa kipindi cha miaka mitatu ,na awali alionekana ni kipenzi kikubwa cha mashabiki wa Yanga...
1 24 25 26 27 28 79
Page 26 of 79