Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Tetesi

Kocha mpya Yanga huyu hapa

IO Patrick Aussems tena kama wengi walivyoelekea kuamini mara baada ya taarifa kuibuka kwenye mitandao kuwa mabingwa wa Yanga wako kwenye hatua za mwisho kumuajiri kocha huyo wa zamani wa Simba.
Tetesi

SIMBA yaipindua YANGA, Yamtaka Kiungo wa UD SONGO

Baada ya tetesi ya muda mrefu ya Yanga kutaka kumsajili kiungo wa UD Songo , Luis Jose Misquissone tetesi hizi zinaelekea ukingoni kwa Yanga kushindwa kumsajili mchezaji huyu. Mashabiki wa Yanga kwenye mechi ya Simba vs JS Saoura Imeelezwa kuwa Yanga imeshindwa kumsajili kiungo huyu hatari ambaye aliwasumbua Simba kwenye...
EPL

THIS IS ANFIELD” MINAMINO

  Na Emre Mursal Can ilikua January 19,2018 mida ya saa 2:58 usiku , siku na muda huo nliandika makala iliyomuhusu "the little magician" Philippe coutinho , nilimwambia coutinho nenda ila ukae ukijua "YUPO ATAKAYEPOKEA ULIPOISHIA" baadae nilipokea pongezi nyingi Sana kuhusu makala ile na Kuna shabiki Mmoja alifika mbali...
Blog

Matajiri wa PSG wataka kuinunua YANGA

  Dkt. Mshindo Msolla ameshaweka wazi kuwa mpaka kufikia mwakani (2020) mwezi wa tano (5) Yanga itakuwa kwenye mabadiliko ya uendeshaji wa klabu kutoka kwenye uendeshaji huu wa sasa mpaka kwenye uendeshaji wa kisasa. Kwa mujibu wa Mwenyekiti huyo wa Yanga , Dkt. Mshindo Msolla mchakato umeanza mapema kwa sasa...
Tetesi

Hassan kessy atemwa na NKANA FC

Baada ya kuanza vizuri kwenye kikosi cha Nkana FC mpaka kufanikiwa kabisa kupenyeza katika kikosi cha kwanza cha Nkana FC mambo yameanza kwenda vibaya kwa beki mahiri wa kulia wa Tanzania , Hassan Kessy. Hassan Kessy kwa sasa amekuwa akihangaika kupata nafasi ya kikosi cha kwanza kama ambavyo alivyokuwa anapata...
EPL

Man U yapigwa viwili vya haraka haraka

Ushindi wa kwanza wa Nigel Pearson kama kocha mkuu wa Watford umepatikana Leo ndani ya dakika 4 wakifanikiwa kufunga magoli 2 dhidi ya Manchester United. Ismail Sarr alifunga goli la kwanza goli ambalo lilitokana na uzembe wa golikipa David De Gea,  Wanna - Bissaka alisababisha penati ambayo aliifunga nahodha wa...
ASFC

SIMBA ndiyo Baba lao, yaifunika YANGA

Leo Simba imeonesha kuwa ndiyo baba lao Baada ya kuifunga Arusha United kwenye uwanja wa Uhuru , uwanja ambao jana ulitumika kwenye mechi dhidi ya Yanga na Iringa United.   Kwenye mechi ya Jana Yanga wakifanikiwa kushinda kwa magoli matatu ( 4) kwa bila (0) , huku magoli matatu (3...
ASFC

Ajib afunga goli lake la kwanza, Chama afufuka!

Baada ya Jana kushuhudia Yanga wakishinda goli 4-0 dhidi ya Iringa United kwenye uwanja wa Uhuru , leo hii tumeshuhudia Simba katika kipindi cha kwanza wakienda huku wakiwa wanaongoza kwa goli 4-0. Magoli manne (4) ya Yanga yalipatikana katika kwenye vipindi vyote , ila mpaka muda huu wa mapumziko Simba...
Ligi Kuu

YANGA ni tishio, Simba timu ya kawaida-MKWASA

Jana Yanga ilikuwa na mechi kwenye uwanja wa uhuru, mechi ambayo ilishuhudia Yanga wakishinda magoli 4-0, magoli yaliyofungwa na Papy Kabamba Tshishimbi, Patrick Sibomana , Lamine Moro na David Molinga. Baada ya mechi hiyo ambayo I lishuhudiwa nyuki wakivamia eneo la kuchezea ndani ya uwanja, kocha wa muda wa klabu...
1 23 24 25 26 27 79
Page 25 of 79