
Harakati za kuijenga Yanga kwenye dirisha dogo la usajili zinaendelea kwa kasi kubwa. Jana tumeshuhudia Ditram Nchimbi akisaini na klabu hiyo Leo hii pia Yanga wanafanya kitu ambacho ni kufuru.
Mshambuliaji toka Ivory Coast , Yikpe Gramien amewasili Dar es Salaam na kupokelewa na mkurugenzi wa mashindano ya Yanga . Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa anacheza Gor Mahia anatazamiwa kusaini mkataba Leo na klabu hii kubwa hapa Tanzania.
Unaweza soma hizi pia..
Waandishi wa habari za michezo waigalagaza Unitalent.
Unitalent hawakuishia tuu kufungwa mabao mawili lakini pia waliteseka uwanjani haswa katika eneo la kiungo
Kwanini Boban Hakuyapenda Maisha Ya Ulaya…?
Yumkini Haruna Moshi alishawishiwa kutokukipenda ambacho kingemsaidia maishani. Soma stori hii
Manara: Tunataka kuujaza uwanja Jumamosi!
Msemaji huyo pia ameonyesha ni kwa kiasi gani wamedhamiria kuujaza uwanja huku akitangaza neema kwa mashabiki wa Yanga wataokata tiketi kwenda uwanjani.
Hivi ndivyo tulivyomuua Samatta wetu.
Mimi siyo mpenzi wa mpira wa miguu ila nilisikia Rafiki zake wakimwiita Ronaldinho Gaucho,