Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi

Yanga vs Prisons kucheza kwenye Uwanja wa NDONDO !

  Mchezo kati ya Tanzania Prisons dhidi ya wageni wao Yanga sc umeshindwa kupigwa jijini Mbeya katika dimba la Sokoine kutokana na uwanja kuharibika baada ya shughuli ya kijamii iliyofanyika uwanjani hapo. Mchezo huo ulikua upigwe kesho Ijumaa katika dimba la Sokoine sasa utapigwa katika dimba la Samora mkoani Iringa...
Tetesi

YANGA kumleta Mshambuliaji zaidi ya KAGERE !

Baada ya Yanga kushindwa kumnasa kiungo hatari wa UD Songo Luis Jose Misquissone kutokana na dau kubwa, mchezaji huyo alitaka shilingi milioni 110 za kitanzania kama ada ya uhamisho, Yanga imehamia mashambulizi yake kwa Dickson Ambundo. Mchezaji huyo anayekipiga Gor Mahia kwa sasa amewahi kucheza Alliance FC ya Mwanza msimu...
Ligi

Yanga kucheza Matopeni tena

Baada ya mechi iliyopita dhidi ya Mbeya City kocha wa muda wa Yanga , Charles Boniface Mkwasa kulalamika hali ya uwanja wa Sokoine Mbeya kuwa na hali Mbaya kutokana na mvua kubwa kunyesha, hali ya Uwanja huo inazidi kuwa Mbaya kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Prisons. Jana kulikuwa na...
Ligi

Kocha wa Simba ana U-PEP GUARDIOLA

  Mechi ya pili tangu ujio wa kocha mpya wa Simba Sven Vandenbroeck. Kocha ambaye alichukua nafasi ya Patrick Aussems. Mechi ya kwanza alicheza dhidi ya Arusha United na kushinda 6-0, na mechi ya pili ilikuwa dhidi ya Lipuli FC jana na akashinda 4-0. Ukitazama kuna ufanano wa ufundishaji Kati...
Ligi

MA REFA wanashinikizwa kuionea YANGA-Mkwasa

Jana kulikuwa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara Kati ya Mbeya City na Yanga. Mchezo ambao ulikuwa wa kiporo na tulishuhudia Yanga ikilazimishwa Suluhu na Mbeya City iliyochini ya Amri Said. Kocha huyo mpya aliyekuja kuchukua nafasi ya Juma Mwambusi , alisema kwa sasa amefurahia na namna ambavyo timu...
Blog

Mtanzania asajiliwa Portsmouth ya ENGLAND

Inawezekana ikawa ni moja ya bahati ambayo sisi Watanzania tumeanza kuzipata kwa Siku za hivi karibuni kutokana na baadhi ya wachezaji kuwa wanacheza nje ya nchi , tuachane na Samatta Mbwana ambaye ndiye nyota , kuna kuna Msuva Simon , Adi Yusuph ambaye yuko England. Orodha inazidi kuongezeka kwa sasa...
Blog

Uwanja wa SIMBA ungeitwa jina la Hassan Dalali na siyo jina la MO !

  Kuna hadithi nyingi sana ambazo ziko wazi kwenye dunia hii , hadithi ambazo zimejumuisha mashujaa wetu , hadithi ambazo zimeandikwa kwenye vitabu mbalimbali na pengine hadithi hizi zimewekewa alama ya ukumbusho ili kuwakumbuka na kuwapa heshima mashujaa wetu. Kumbukumbu zangu zinanikumbusha mzee mmoja anayeitwa Santiago Bernabeu, mzee ambaye enzi...
Ligi Kuu

YANGA ni kubwa kuliko mchezaji, Ngassa atulie – NUGAZ

  Baada ya sakata la Yanga na Mrisho Khalfan Ngassa kupamba moto kwenye mitandao ya kijamii kutokana na Mrisho Khalfan Ngassa kuwadai Yanga shilingi Milioni 15 za kitanzania ambazo ni madai yake ya ada ya uhamisho Leo hii Afisa Mhamasishaji wa Yanga amemjibu Mrisho Ngassa. "Ni kweli kuna wachezaji wanne...
EPL

Maeneo matatu anayotakiwa kurekebisha ARTETA pale ARSENAL

Tayari Arsenal iko na Mikel Arteta kama kocha mkuu wa Arsenal , kocha ambaye aliwahi kuhudumu pale kama mchezaji kwa muda wa miaka sita (6) anarudi tena Arsenal wakati ambao Arsenal inafanya vibaya , kipi afanye kwa haraka ainasue ? KUCHEZA HIGH DEFENSIVE LINE. Moja ya kitu ambacho Arsenal kwa...
1 22 23 24 25 26 79
Page 24 of 79