BlogNiyonzima YUHAI, atajiua na kujizika mwenyewe tu!.Martin Kiyumbi5 years agoWakati natazama mechi ya mwisho ya Cesc Fabregas akiwa na uzi wa Chelsea kitu cha mwisho kuja katika akili yangu ni sura ya Haruna Niyonzima.
Mapinduzi CupSiwalaumu Yanga, nawalaumu Waandaaji wa Mapinduzi.Martin Kiyumbi5 years agoMichuano ya Mapinduzi inaendelea huko Zanzibar
Ligi KuuUsajili wa kwanza kwa Yanga mwaka 2019 ni kumpa U-nahodha AJIBU.Martin Kiyumbi5 years agoAjib amefanya vizuri sana kwa mwaka 2018, mpaka sasa anaongoza kwa kutoa pasi za mwisho zilizozaa goli.
BlogSimoni Msuva uko kimya sana rafiki yangu.Martin Kiyumbi5 years agoHello. Kheri ya mwaka mpya rafiki yangu. Nimekukumbuka sana , nimekumbuka vingi ambavyo tulikuwa tunazungumza
Ligi KuuGhafla nimekumbuka MKUDE alivyoporwa UNAHODHA.Martin Kiyumbi5 years agoMkude pia ametajwa na tovuti hii kuwania uchezaji Bora wa 2018. Unaweza tazama na kupiga kura.
BlogNimeukumbuka utatu wa Mzamiru, Mo na Kichuya!Martin Kiyumbi5 years agoHawa waliwahi kuwa mhimili wa timu ya Simba, ndiyo hawa ambao walihakikisha timu inafunga na timu inatengeneza nafasi nyingi za magoli.
Ligi KuuPale Makambo anapopingana na Dunia.Martin Kiyumbi5 years agoUlimwengu wa mpira umebadilika sana. Umekuwa ulimwengu ambao unatumia sayansi kubwa sana ndani ya mpira.
BlogMasoud Djuma alituchelewesha kwa kututia upofu.Martin Kiyumbi5 years agoTulimwamini sana, tulimpa kila kitu. Mioyo yetu ilimpa mahaba yote. Kibaya zaidi tulimwamini kuliko mtu yeyote kwa sababu tu 3-5-2.
BlogUpi ubora wa Chama?Martin Kiyumbi5 years agoSimba walifanikiwa kufuzu hatua ya makundi, lakini moja ya mashujaa walioibuka katika mchezo huo ni kiungo wa Simba, Chama.
BlogSimba ipo mgongoni mwa CHAMAMartin Kiyumbi5 years agoMagoli ambayo yameifanya Simba kuingia hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Africa. Ndiye bosi halali wa kikosi cha Simba kwa sasa.