Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi Kuu

Tumemzoea AJIB na Tunaelekea Kumsahau AJIB.

Kuna muda tulitumia muda mwingi sana kumwandika, mikono yetu ilikuwa inatoa tabasamu kila tulipokuwa tunamwandika Ibrahim Ajib. Hata midomo yetu ilikuwa na furaha kubwa sana kila tulipokuwa tunamtaja Ibrahim Ajib. Midomo yetu ilikuwa inaona fahari kumtamka. Tena tulitumia muda mwingi sana kumtafutia majina ya kuvutia kupitia midomo yetu. Yupo aliyesema...
Ligi Kuu

Kabwili ni matokeo ya Johan Cruyff

Kuna wengine watakumbuka sanaa ambayo alikuwa akiionesha uwanjani, magoli aliyokuwa anayafunga yanaweza yakawa kumbukumbu kubwa vichwani mwa wengi. Kuna mengi sana ya kumkumbuka huyu gwiji wakati akiwa mchezaji lakini kuna mengi ya kuyatukuza ya huyu gwiji kipindi alipoamua kuwa kocha. Alitamani kubadilisha mpira wa miguu na kuna wakati alitamani dunia...
Blog

Ghafla nimemkumbuka Masoud Djuma

  Aliwah kujibebea mashabiki wengi sana hapa nchini kulingana na aina ya soka ambalo aliwahi kulionesha kwenye ligi yetu hii. Kipindi anaingia aliingia na mfumo ambao ulionekana mgeni sana kwenye ligi yetu, lakini ndiyo mfumo ambao ulikuwepo sokoni kwa kipindi hicho. Mfumo ambao ulikuwa unaendana na mabadiliko ya sasa ya...
1 52 53 54 55 56 79
Page 54 of 79