Mabingwa AfrikaKuukataa U-UNDERDOG kumewaponza SimbaMartin Kiyumbi5 years agoSimba ilipoteza vibaya mchezo wake dhidi ya AS VITA Club hapo jana.
Mabingwa AfrikaPengo la huyu mchezaji litawatesa SimbaMartin Kiyumbi5 years agoKuna aina ya wachezaji wawili uwanjani. Aina ya kwanza ni mchezaji bora na aina ya pili ni mchezaji muhimu. Hawa wote hukaa kwenye timu moja.
EPLMechi tano za kukupa hela weekend hii.Martin Kiyumbi5 years agoKandanda inakupa utabiri wa mechi na sababu zake, kutana na Martin Kiyumbi,akikusaidia kupata hela leo.
Mabingwa AfrikaUgumu wa Simba kushinda uko hapaMartin Kiyumbi5 years agoKesho Klabu ya Simba itacheza na Association Sportive Vita ( As Vita) katika uwanja wa Stade des martyrs wenye uwezo wa kubeba mashabiki 80,000.
BlogKuna siku Emmanuel Okwi atajengewa sanamu!Martin Kiyumbi5 years agoOkwi amekuwa msaada mkubwa kwa klabu ya Simba na soka la Tanzania wakati wote akicheza hapa.
BlogMkemi arudi Rasmi YANGA.Martin Kiyumbi5 years agoJe ni dalili ya viongozi na wajumbe wengine kuanza kurudi?
Ligi KuuUchaguzi wa YANGA wasimamishwa.Martin Kiyumbi5 years agoLeo hii mwenyekiti wa uchaguzi wa TFF, ametangaza rasmi kusimamisha uchaguzi wa klabu ya Yanga ambao ulipangwa kufanyika tarehe 13/1/2019.
BlogTatizo la KICHUYA ni kuwa na miguu na akili kama za NGASSA na BOBANMartin Kiyumbi5 years agoKuna vingi vya kukumbuka sana kwenye dunia yetu hii ya mpira. Dunia ambayo haijawahi hata siku moja kupata mwanga.
Ligi KuuMkiwa kwenye Kampeni, YANGA kumbukeni hili.Martin Kiyumbi5 years agoUchaguzi wa Yanga umeshafikia hatua nzuri sana. Hatua ya kampeni. Hatua ambayo viongozi hutumia lugha ya ushawishi kwa wanachama.
Ligi KuuYanga ina bahati ya kupata makocha ambao huwa mashabiki wa timu hiyo.Martin Kiyumbi5 years agoHata mtangulizi wa Mwinyi Zahera, George Lwandamina alidumbukia kwenye huba sema viongozi ndiyo waliosababisha aondoke.