Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi Kuu

Ipi tofauti ya Simba ya msimu uliopita na msimu huu?

1: Kuna mengi ya kuumiza na kuna wakati mwingine yanakera sana hasa hasa unapotumia nguvu nyingi mwanzoni zikakuishia mwishoni. Hiki ndicho kitu ambacho Simba kilikuwa kinawakera na kuwaumiza sana hasa hasa msimu uliopita. Walifanikiwa kuongoza kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Yanga lakini mwisho wa ligi Yanga ilichukua ubingwa...
Ligi Kuu

Kwenye mechi hii Yanga anaonekana kama kondoo aliyelala

Hapana shaka kesho ni sikukuu ya Simba na Yanga, sikukuu ambayo husimamisha shughuli zote zinazofanyika hapa nchini kwa masaa kadhaa. Mitaa yote hupendezeshwa na bendera za timu hizi mbili, rangi za njano, kijani, nyekundu na nyeupe hutamaraki machoni penu. Hii yote ni kuonesha kuwa timu hizi zinamashabiki wengi kila kona...
Blog

Tulimsubiria Neymar, Akaja Salah

Kivuli cha Lionel Messi ndicho kilichomtoa, hakutaka kusimama kwenye kivuli cha mtu mwingine ilihali kivuli chake kikiwa kimesinyaa. Mawazo yake na matamanio yake makubwa yalikuwa kujenga Ufalme wake mwenyewe. Ufalme ambao atapokea heshima kubwa kila sehemu ya dunia. Messi na Neymar wakiwa Barcelona Aliamini ndani ya Ufalme wake atakuwa huru...
EPL

Utawala wa Wenger wafikia kikomo.

Baada ya kukaa miaka 22 katika klabu ya Arsenal, kocha Arsene Wenger leo kupitia ntandao wa klabu ya Arsenal katangaza rasmi kuwa mwishoni mwa msimu huu hatokuwa kocha wa Arsenal tena. Arsene Wenger alichaguliwa kuwa kocha wa Arsenal tarehe 1 October mwaka 1996, ndiye kocha aliyedumu muda mrefu katika ligi...
Kombe la Dunia

Kikosi Bora cha muda wote cha Kombe la Dunia

Miaka 88 imepita, miaka ambayo ilituonesha nchi 8 zikibeba kombe hili la dunia kwa nyakati tofauti, nchi ambazo zilikuwa na wachezaji nyota walioshiriki kuacha alama kubwa katika michuano. Maisha ni alama, dunia itakukumbuka na kukuenzi kwa alama unazoziacha duniani wakati mwili wako ukiwa na nguvu na akili yako ikiwa na...
Shirikisho Afrika

Wababe wa Zamaleki Wazikwa na Yanga

Zanzibar ndiyo ilikuwa sehemu yao ya kwanza kuanza safari yao na Ethiopia ikawa safari yao ya mwisho kwenye michuano hii ya kimataifa. Walifanikiwa kutoka sare ya goli moja kwa moja dhidi ya Zimamoto ya Zanzibar katika uwanja wa Amani na walippenda kurudiana Ethiopia walifanikiwa kuwafunga Zimamoto goli 1-0 na kufanikiwa...
1 68 69 70 71 72 79
Page 70 of 79