Rekodi ambazo Ronaldo na Messi hawajawahi kuzivunja UEFA
Kuna vitu vingi wamevifanya, kuna rekodi nyingi wameziweka , rekodi ambazo zimewafanya wawe na mashabiki wengi duniani. Lakini kuna baadhi ya rekodi hawajawahi kuzivunja au kuzifikia na zinaonekana ni ngumu kwao kuzifikia hasa hasa kwenye michuano ya klabu bingwa barani ulaya. Juzi Ronaldo alifunga hat-trick yake ya 50 na kumuacha...