Koti la Sir Alex Ferguson alilivaa Jose Mourinho Etihad
Baridi limevaa ngozi yangu hii imekuwa kawaida sana siku hizi asubuhi kuwa na baridi kutokana na mvua, mvua ambayo imetusahaurisha kuhusu joto la Dar es Salaam Joto ambalo limekuwa likitutesa kwa muda mrefu sana, mateso haya huwa ya nyakati fulani yenye majira ya joto. Ndipo hapa huwa napenda kusema kila...