Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Ligi Kuu

Kikosi bora cha ligi kuu Tanzania 2017/2018.

1: Aishi Manula. Golikipa bora wa Tanzania kwa misimu miwili iliyopita, kuilinda milingoti mitatu ya Azam Fc kulimpa nafasi ƴya kuonesha uwezo wake. Uwezo ambao haukuwa na shaka kwenye mboni za macho ya wengi. Msimu huu analinda lango la msimbazi na katika mechi alizofanikiwa kucheza akiwa Simba amefanikiwa kupata clean...
Ligi Kuu

Tulihoji umri wa Okwi, Miguu yake imetupa majibu.

Hapana shaka hakuna mchezaji ambaye ni kipenzi cha wana Simba kwa miaka ya hivi karibuni kama Emmanuel Okwi. Mfalme wa himaya ya msimbazi, mfalme ambaye aliwahi kwenda kuishi kwenye ufalme wa Jangwani. Ufalme ambao kwake yeye haukuwa ufalme wenye furaha, hakuna kitu kikubwa alichokifanya pale jangwani kwa sababu miguu yake...
Ligi Kuu

Yanga ina kikosi chepesi katika michuano migumu.

Kuna habari nyingi sana huwa zinanichanganya kichwa, habari ambazo huwa zinanifanya niwaze. Tafakuri yangu huchukua muda mrefu sana lakini majibu yake huwa tofauti na mitazamo ya walio wengi. Ndimi za watu wengi zinakiri kuwa ligi yetu ni ngumu, ndimi hizi huwa zinanichosha pale zinapohubiri ugumu wa ligi yetu kutokana na...
Ligi Kuu

Okwi na Bocco wagaragazwa.

Mshambuliaji wa timu ya Majimaji, Marcel Kaheza amechaguliwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom mwezi Aprili. Kaheza atapewa fedha milioni moja na wadhamini wakuu wa ligi Kampuni ya Vodacom, kisimbuzi cha Azam TV Kaheza amewapiku washambuliaji nyota wa timu ya Simba, John Bocco na Emmanuel Okwi kwenye kinyang'anyiro hicho....
EPL

Muda umempa uhalisia ambao Wenger hakuutegemea.

Kuna mengi sana hutokea kwenye maisha tofauti na mategemeo yetu. Maumivu huwa vazi letu kipindi tunapopata matokeo yaliyotofauti na mategemeo yetu. Kuna vingi huvitegemea na kuvisubiri kwa hamu vitokee ili vikamilishe furaha yetu lakini muda huja na uhalisia ambao hugeuka kuwa ukweli. Uhalisia ambao huonekana mchungu, uchungu ambao hugeuka kuwa...
Blog

Rasmi Lwandamina apata timu mpya.

Baada ya kuachana na Yanga aliyewahi kuwa kocha wa timu hiyo George Lwandamina leo hii katangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Zesco United. Mtendaji mkuu wa klabu hiyo ( Zesco United) Richard Mulenga amemtangaza George Lwandamina kuwa kocha mkuu sambamba na Alfred Lupiya kuwa kocha wa kwanza msaidizi huku Emmanuel...
Ligi Kuu

Banda alitizama muda, Mahadhi bado anaangalia saa yake

Jua linachomoza ikiwa ni ishara ya mwanga kwenye maisha ya mwanadamu yoyote yule aliyepanga kwenye nyumba inayoitwa dunia. Nyumba ambayo tunapita, nyumba ambayo imebeba watu wenye nia na malengo mbalimbali ili kufikia mafanikio. Mafanikio hufikiwa pale panapokuwa na msukumo wa mtu mwenyewe kutaka kufanikiwa ndiyo maana kuna mtu aliwahi kusema...
1 67 68 69 70 71 79
Page 69 of 79