Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Je tutegemee kikosi cha mwalimu Amunike kitakua na sura mpya? Tutegemee ujumuisho wa kinara wa mabao wa TPL kutoka Mwadui, Salimu Aiyee mwenye mabao 14? Au Ibrahim Ajib nahodha wa Yanga?. Tupe maoni yako.