Mashindano

Amunike aita kikosi cha Stars maproo 10 wajumuishwa

Sambaza....

Mwalimu wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” ametaja kikosi kitakachovaana na Uganda “The Cranes” katika michuano ya kufuzu Afcon 2019 nchini Misri.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji 10 wanaocheza soka la kulipwa huku kukiwa na sura mpya kutoka klabu ya Mbao fc ya Mwanza.

Kikosi kamili hiki hapa:

Makipa: Aishi Manula (Simba sc), Menata Mchata (Mbao fc), Aron Kalambo (Tz Prisons).

Walinzi:  Hassan Kessy (Nkana- Zambia), Aly Sonso (Lipuli), Gadiel Michael Andrew Vicent, Kelvin Yondani (Yanga), Agrey Morris (Azam fc), Kennedy Juma ( Singida utd), Vicent Phillipo (Mbao fc).

Viungo Jonas Mkude (Simba sc) Feisal Salum (Yanga sc) Shiza Kichuya (Enpp-Misri), Farid Mussa (CD Teneriffe – Spain), Suleimani Salula (Malindi – Znz), Himid Mao (Petrojet- Misri) na Mudathir Yahya (Azam fc)

Washambuliaji: John Bocco (Simba sc), Shabani Idd (CD Teneriffe), Rashid Mandawa (BDF XI – Botswana), Yahya Zayd (Ismail- Misri), Simon Msuva (Difaa El-Jadida – Morroco), Thomas Ulimwengu (JS Saoura) na Mbwana Samata (KRC Genk- Belgium).


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.