Ibrahim Ajib Migomba
Salim Aiyee
Blog

Salim Aiyee na Ibrahim Ajibu kujumuishwa Taifa Stars ya Amunike?

Sambaza....

Mwalimu wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Emmanuel Amunike kesho makao makuu ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) saa tano kamili asubuhi anatarajiwa kutaja kikosi kitakachovaana na Uganda “The Cranes”.

Tanzania inategemewa kuwakabili Uganda katika mchezo wa mwisho wa kundi L ili kuweza kufuzu michuano ya Afcon 2019 itakayofanyika nchini Misri.

Je tutegemee kikosi cha mwalimu Amunike kitakua na sura mpya? Tutegemee ujumuisho wa kinara wa mabao wa TPL kutoka Mwadui, Salimu Aiyee mwenye mabao 14? Au Ibrahim Ajib nahodha wa Yanga?. Tupe maoni yako.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.