Tuwafukuze kwanza kina Ajib kabla hatujamfukuza Amunike
Kama ambavyo wengi wetu tunavyosema kuwa michuano ya Afcon ya mwaka huu tumeenda kujifunza na siyo kushindana. Basi kuna vitu ambavyo tunatakiwa kuvichukua kama fundisho.
Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.