BlogKakolanya rasmi SimbaMartin Kiyumbi5 years agoGolikipa huyo aliyevunja mkataba wake na Yanga kutokana na kutomaliziwa pesa zake za usajili, hali hii ilimfanya agomee mazoezi na Yanga.
BlogKwanini tunasita kumwiita Manula , Tanzania one?Martin Kiyumbi5 years agoMuda mrefu umepita tangu Juma Kaseja asiwe mmoja wa wachezaji wa timu ya taifa. Leo hii Tanzania inamshuhudia Aishi Manula kama golikipa namba` moja wa timu ya taifa.
BlogWachezaji wa ndani ya nchi wameshasajiliwa bado kutangazwa tu- MagoriMartin Kiyumbi5 years agoHati inayoshikiliwa na wazee wa Simba haiwezi kuzuia mabadiliko katika klabu hiyo. Bwana Magori.
BlogKandanda.co.tz ipo pamoja na Taifa StarsMwandishi Wetu5 years agoWewe vaa jezi ya Taifa Stars, hapa soma ukiwa umevalishwa pia kimtandao jezi hiyo hiyo ya Taifa Stars.
BlogNinje aondolewa TFF, nani kuvaa viatu vyake?Martin Kiyumbi5 years agoNani unadhani anaweza kuchukua nafasi hii? Kandanda tunadhani Oscar Mirambo anaweza iongoza vema, soma utupe maoni yako pia.
BlogAiyee atakuwa zaidi ya Bahanunzi Yanga SCoBaraka Mbolembole5 years agoUkitazama mbio za Aiyee, vile anavyopokea mpira, anavyotengeneza/ kujitengenezea nafasi, kujipanga katika maeneo ya hatari ya wapinzani
BlogJezi za taifa stars yazinduliwaThomas Mselemu5 years agoJezi ya Taifa Stars ambayo itatumika na timu zote za Tanzania. Blue- Nyumbani na Njano-Ugenini. Kuanza kupatikana leo katika maduka ya michezo.
BlogMkataba wa Magori umeisha SimbaMartin Kiyumbi5 years agoKumekuwa na taarifa za ndani kuwa Mtendaji mkuu wa Simba , Magori kuondoka Simba. Hiki ndicho Kandanda inatambua...
BlogKwanini makipa watano katika kikosi cha Stars?Mwandishi Wetu5 years agoKikosi cha Timu ya taifa kipo nchini Misri na wachezaji 32, gumzo pia limekuwa kwanini kocha Aminike ameita makipa wengi
BlogMkude na Ajib hawatamani tunachokitamani!Martin Kiyumbi5 years agoTumekuwa tukitamani sana kuwaona Ibrahim Ajib na Jonas Mkude wakifanikiwa kwenye mpira wa miguu lakini wao hawaoni kama wanatakiwa kufanikiwa.