Blog

#NimeisomaHii: Shinda jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania

Sambaza....

Tovuti yetu ina zaidi ya makala/uchambuzi na habari 1,000 za kuvutia, bila kusahau Msimamo, Wafungaji bora, Matokeo na Ratiba, tukielekea katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika tovuti itatoa jezi za timu ya Taifa Tanzania, kwa Wanakandanda watakaokuwa wamesoma makala zetu na kutoa maoni mara nyingi katika makala au habari ndani ya tovuti wakitumia hashtagg #NimeisomaHii.

Nini ufanye?

Fungua habari au makala yoyote kupitia www.kandanda.co.tz, isome makala,habari au ratiba/matokeo.

Andika maoni yako ukitumia akaunti yako ya Facebook malizia na neno #NimeisomaHii (Mfano katika picha juu)

Nitashinda kivipi?

Toa maoni zaidi ukitumia  #NimeisomaHii na sambaza kwa marafiki kwa kuyatuma maoni hayo Facebook pia.

Muda:

Kuanzia tarehe 16/06/2019 hadi tarehe 23/06/2019

 


*vigezo na masharti kuzingatiwa

Anza sasa: Hizi chini ni za hivi karibuni.


Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x