Ruvu Shooting: Tumepokea salamu za Matola, ila………..
Klabu ya soka ya Ruvu Shooting imeitahadharisha timu ya soka ya Lipuli FC kuwa wasitarajie mteremko katika mchezo wao unaofuata wa Ligi kama iivyokuwa kwa Biashara United kwa kupata ushindi wa mabao 3-1. Ruvu Shooting kupitia kwa Msemaji wao Masau Bwire imesema kwamba imepata ujumbe kutoka kwa kocha msaidizi Seleman...