Yanga ‘itaponzwa’ na safu yao ya kiungo, watashinda mechi ikiwa…
MARA ya mwisho Yanga SC kushinda katika ‘Dar es Salaam-Pacha’ ilikuwa Machi 2016 waliposhinda 2-0, baada ya hapo, mabingwa hao mara 27 wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara wamepoteza mara mbili na kutoa sare michezo miwili katika game nne za ligi zilizopita. Kiujumla, katika michuano yote Yanga haijashinda dhdi...