Ndoa ya Masoud Djuma na Simba yavunjika Rasmi.
Rasmi Leo tarehe 8/10/2018 klabu ya Simba imesitisha mkataba na aliyekuwa kocha msaidiizi wa klabu hiyo Masoud Djuma Irambona. Akizungumzua katika makao makuu ya klabu ya Simba, kaimu Raisi wa Simba amedhibitisha kwa kusema kuwa; "Kwa niamba ya klabu sisi tunamshukuru sana kwa huduma zake, tumekaa naye vizuri na tumefanya...