Ligi Kuu

Ningekipanga hivi kikosi cha Yanga kuelekea September 30!

Sambaza....

Kuelekea mchezo wa watani wa jadi utakaopigwa September 30 katika dimba la uwanja wa Taifa “Kwa Mchina” ningekipanga hivi kikosi changu.

Tupe na wewe chako hapo chini.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.