Ligi KuuPolisi Tanzania yahama Moshi yatimkia Dar!Thomas Mselemu2 years agoKutokana na umuhimu wa michezo hii iliyobaki katika kusaka alama tatu, uongozi umeona ni vyema kuhamia Dar.
Ligi KuuRafiki yangu Ajib ananipa unyonge!Abdul Mkeyenge2 years agoAjib hajui mpira? Hapana. Kuna timu haitamani kipaji cha Ajib? Hapana. Katika ubora wake kuna timu katika ligi yetu Ajib anaweza kukaa benchi?
Ligi KuuJuma Mgunda na utamu wa Coastal Union yake!Thomas Mselemu2 years agoMgunda mpaka sasa ameiongoza Coastal Union katika michezo 10 ya Ligi.
Ligi KuuAlli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!Thomas Mselemu2 years agoMayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Ligi KuuMsemaji Simba: Mambo ni magumu!Thomas Mselemu2 years agoKila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.
Ligi KuuKola na mfupa uliomshinda Mayele!Thomas Mselemu2 years agoLicha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
Ligi KuuGeorge Mpole anaishi ndoto zetu!Thomas Mselemu2 years agojuhudi binafsi za George Mpole na ndio maana utofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 1 kwao lakini yeye pekeake Mpole ana mabao 13.
Ligi KuuAlli Kamwe: Kumbe bila moto wanateseka!Thomas Mselemu2 years ago: Asante Moalin. Asante Pablo Franco, Mechi ilichezwa sana kwenye mbinu kisha ikamalizikia kwenye Ufundi wa wachezaji.
Ligi KuuAzam kujimaliza yenyewe mbele ya Simba!Thomas Mselemu2 years agoMiongoni mwa maeneo yatakayopa ushindi Simba katika mchezo huo ni eneo la kiungo na eneo la mlinda mlango.
Ligi KuuKola tishio jipya kwa Onyango na InongaThomas Mselemu2 years agoHazikupita siku nyingi Mayele akakutana na Simba na kutiwa mfukoni na Mcongo mwenzake Inonga Baka na kupeleka kuzima mtetemo wake