Herrera aacha ujumbe mzito kwa mashabiki wa Manchester United.
Kiungo anayeondoka Manchester United Ander Herrera amesema kocha wa klabu hiyo Ole Gunnar Solskjaer ndiye chaguo sahihi kwa sasa lakini anahitaji muwa wa kuweza kurejea na kuanza kuwania mataji kama ilivyokuwa zamani. Herrera ambaye anatajwa kuwa atajiunga na Matajiri wa Ufaransa Paris St Germain mwanzoni mwa msimu ujao, amesema anamuamini...