Klop (Kocha wa Liverpool)
EPL

Liverpool bingwa msimu huu

Sambaza kwa marafiki....

Klabu ya Liverpool yenye ukame wa muda mrefu, ukame wa umri wa mtu mzima katika kutwaa kombe la ligi kuu Uingereza, inaonekana kuwa katika nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu.

Liverpool inafukuzana kwa karibu na Manchester City katika kinyang’anyiro hicho ambacho kimebakiza mechi chache sana.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.