Safari ya Mtibwa hadi Fainali
Timu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kutinga fainali katika msimu wa tatu wa kombe lá FA baada ya kupata ushindi katika uwanja wa Kambarage Shinyanga dhidi ya Stand UTD. Tangu msimu huu wa Azamsports FederationCup uanze mechi zote za Mtibwa Sugar zimekua zikipangwa ugenini. Hivyo hakuna hata mchezo mmoja ambao Mtibwa...