ASFC

ASFC

Habari njema kwa mashabiki wa Mnyama

Habari nzuri kwa mashabiki wa SimbaSc kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Njombe Mji Ya Njombe katika harakati zao za kuwania ubingwa kiungo wao Jonas Mkude ameaza kufanya mazoezi baada ya jeraha lake la enka kupata nafuu. Jonas Mkude aliumia mazoezini baada ya kugongana na Yasin Mdhamiru katika uwanja...
ASFC

Yanga walizidiwa kila idara na Singida Utd!

  Mchezo wa soka kati ya Singida United dhidi ya Yanga sc umemalizika kwa Singida kupata ushindi wa penati 4-2 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 za Mchezo. TATHIMINI! Nikianza na wenyeji Singida United ambao waliingia uwanjani wakitumia mfumo wa 4-4-2 flat. Hakika Singida United walikuwa bora sana...
ASFC

Yanga Kama Azam yafia Singida!

Timu ya Yanga imeyaaga mashindano ya Azamsports FederationCup baada ya kutolewa na Singida Utd kwa mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja  katika dakika 90 za mchezo. Mchezo huo wa mwisho wa robo fainali uliopigwa Katika dimba la Namfua, Sasa unaifanya Yanga kutolewa na Kuungana...
ASFC

Mtibwa sugar yaifata Chama la Wana

Timu ya Mtibwa sugar imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Azam ya michuano ya Azam Sports Federation Cup, baada ya kupata ushindi wa penati 9-8 dhidi ya Azam FC kufuatia sare 0-0 katika dakika 90 za mchezo. Mara baada ya dakika 90, kukamilika ndipo changamoto ya mikwaju ya...
ASFC

Chama la wana watinga nusu fainali.

Timu ya Stand United "Chama la wana" ya Shinyanga imekuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Njombe mji FC ya Njombe Mchezo huo uliopigwa kunako uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga, Stand United ilijipatia bao...
ASFC

Wachezaji Yanga kusafiri leo kuungana na wenzao

Wachezaji wa Yanga waliokua na Timu ya Taifa Tanzania  Kelvin Yondani, Hassan Kessy, Gadiel Michael na mshambuliaji Ibrahim Ajib wanatariwa kuondoka mchana huu kueleka mjini Morogoro kuungana na wenzao walioko kambini. Ikumbukwe timu ya Yanga imeweka kambi ya muda jijini Morogoro kwajili ya maandalizi ya mchezo wa Azamsports Federation cup...
ASFC

Yanga sc yapewa mtihani mwingine

Yanga sc itakumbana na Majimaji FC katika hatua ya 16 bora, ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Katika droo iliyofanyika leo kunako kituo cha Azam TV, michezo yote ya hatua hiyo ya michuano ya kombe la shirikisho la soka nchini (TFF) imepangwa kufanyika Februari 22 na 25 Pia...
ASFC

Yanga chupuchupu kwa kwa Ihefu FC

Klabu ya soka ya Yanga imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada kupata wa mabao 4-3 kwa njia ya penati Golikipa Youth Rostand ndiye shujaa wa Yanga kwa siku ya leo baada kupangua penati tatu, na kuiwezesha timu yake kutinga hatua ya 16...
1 4 5 6
Page 6 of 6
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.