ASFC

ASFC

Namungo waitahadhalisha Yanga.

Kocha wa timu ya Namungo Bakari Malima kutoka Wilaya Ruangwa Mkoani Lindi amejigamba kuondoka na ushindi dhidi ya timu ya Yanga SC ya Jijini Dares Salaam Katika Kombe la Shirikisho la Azam. Namungo ambayo inaongoza katika msimamo wa Ligi daraja la kwanza inatarajia kucheza na Yanga SC siku ya jumapili...
ASFCBlog

Mashujaa: Ushindi wa Simba ni dalili ya kupanda ligi kuu.

Kocha wa timu ya soka ya Mashujaa ya mkoani Kigoma Funga Machunga Amesema nidhamu ya mchezo ndio sababu ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC katika mchezo wa raundi ya tatu michuano ya Azam Sports Federation Cup. Manyundu amesema wachezaji wake...
ASFCBlog

TFF, Milioni 50 za Mtibwa Sugar zipo wapi?!

Mara nyingi tumezoea mtu unapofanya kazi basi utalipwa, ama unapofanya kazi nzuri utapongezwa lakini haipo hivyo kwa klabu ya soka ya Mtibwa Sugar ambao toka wachukue ubingwa wa Azam Sports Federation Cup mwezi Juni mwaka huu mpaka leo hawajalipwa zawadi yao ya Milioni 50. Mtibwa Sugar waliifunga Singida United katika...
ASFC

Chanongo, Khamis waachwa Turiani, Mtibwa Sugar wakielekea Arusha

Mshambuliaji wa Haruna Chanongo pamoja na Saleh Khamis wameachwa mkoani Morogoro katika kikosi cha Mtibwa Sugar ambacho kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea mkoani Arusha tayari kwa fainali ya Azam Sports Federations dhidi ya Singida United Jumamosi ya Juni 2 mwaka huu. Wachezaji hao wameondolewa katika kikosi hicho kutokana na majeraha...
ASFC

Kuiona Singida United ni bure

Uongozi wa klabu ya Singida United, umeamua kuwapa zawadi mashabiki wake kwa kuwapa fursa ya kuingia bure katika mchezo wao wa kesho wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho la Azam sports Federation Cup (ASFC) Singida United, inataraji kushuka kunako uwanja wake wa nyumbani wa Namfua Stadium kuwakaribisha maafande wa...
1 5 6 7 8 9
Page 7 of 9