Shirikisho Afrika

Shirikisho Afrika

Yanga bila Migomba yaifuata Dicha

Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu Migomba hayumo kunako kikosi cha  Yanga sc, kilichoondoka leo kuelekea Hawassa, nchini Ethiopia tayari kwa mchezo wa marejeano wa mchujo kuwania kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho dhidi ya Wolaita dicha Kikosi cha wachezaji 20, na viongozi 12, kimepanda ndege ya Shirika la ndege...
Shirikisho Afrika

Yanga ina 75% ya kufuzu makundi

Yanga waliingia na mfumo wa 4-4-2 Diamond wakati Wallayta Dicha walikuwa wanacheza mfumo wa 4-4-2 Lakini pamoja na kwamba Yanga kwenye karatasi ilionekana wanacheza 4-4-2 Diamond , uwanjani walionekana kucheza bila mshambuliaji halisi wa katikati , ambapo Raphael Daud alikuwa anacheza kama false 9 Kitu ambacho kilikuwa kinamsaidia kushuka chini...
Shirikisho Afrika

Ngoma IN, Chirwa OUT!

Mshambuliaji wa Yanga sc, raia wa Zambia Obrey Cholla Chirwa ataukosa mchezo wa kwanza dhidi ya Woloyta Dicha kufuatia kuwa adhabu ya kadi mbili za njano alizopata katika michezo dhidi ya Township Rollers ya Botswana, huku habari njema ni kurejea kwa mshambuliaji Donald Ngoma. Ngona aliyeanza mazoezi na kikosi hicho...
Shirikisho Afrika

CAF yawapiga Stop wachezaji Yanga!

Shirikisho lá soka barani África CAF, limewakumbusha Yangasc kutokuwatumia baadhi ya wachezaji kutokana na sababu za kinidhamu kuelekea mchezo wao wa kuwania nafasi ya makundi shirikisho Africa. Kelvin Yondani, Obrey Chirwa, Pappy Tshishimbi na Said Juma Makapu wote hawataweza kutumika katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia....
Shirikisho Afrika

Yanga sc yahamishia nguvu zao shirikisho

Mara baada ya kutupwa nje ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) hapo jana na Singida United,  kikosi cha Yanga sc kinataraji kurejea jijini Dar es salaam leo. Yanga ilishindwa kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa kwa penati 4-2, kutoka kwa Singida United kufuatia matokeo ya sare...
Shirikisho Afrika

Hawa ndio wababe wa Zamalek, Yanga atatoka?

"Mzarau mwiba Mguu huote tende"........huo ni usemi wa kiswahili ambao Wahenga walituachia kwa lengo la kutoa elimu ama mafunzo, juu ya kukabiliana na changamoto mbalimbali kunako maisha yetu ya kila siku, pia methali ama usemi huu utukumbusha juu ya jambo lilitokea ama linalofuata ili kukabiliana nalo kwa tahadhari na umakini...
Shirikisho Afrika

Yanga sc yapewa kiboko ya Zamalek

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, watavaana na klabu ya Walayta Dicha ya Ethiopia katika mchezo wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la barani Afrika. Hiyo itakuwa ni mara ya pili kwa klabu hiyo ya Ethiopia kuja nchini, ambapo mwezi Februari walikuja visiwani...
Shirikisho Afrika

Mpinzani wa Yanga sc kujulikana wiki hii

Yanga sasa itacheza kombe la shirikisho Afrika baada ya kuondolewa kunako ligi ya vilabu bingwa Africa, kanuni za CAF katika round hii ya 16 ni kwamba timu 16, ambazo hazikufuzu hatua ya makundi klabu bingwa zitakutanishwa na timu 16, zilizofuzu hatua ya kwanza michuano ya kombe la Shirikisho na droo...
Shirikisho Afrika

Walipo’chemka’ Simba ni hapa!

Licha ya kuwa na CV nzuri na uzoefu katika soka nini kilikuwa kikwazo katika timu ya Simba hususani katika mechi yao dhidi ya Almasry ya Misri? Kwa mawazo na mtazamo wangu ilikuwa game ya wazi na ya ushindi kwa Simba ikiwa ipo nyumbani na kikosi cha wachezaji 12 (na mashabiki)....
1 10 11 12 13
Page 12 of 13