Sambaza....

Shirikisho lá soka barani África CAF, limewakumbusha Yangasc kutokuwatumia baadhi ya wachezaji kutokana na sababu za kinidhamu kuelekea mchezo wao wa kuwania nafasi ya makundi shirikisho Africa.

Kelvin Yondani, Obrey Chirwa, Pappy Tshishimbi na Said Juma Makapu wote hawataweza kutumika katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia.

Yanga inakwenda kukutana na Waethiopia katika mchezo wa kwanza utakaopigwa Jumamosi katika uwanja wa Taifa Dar es salaam ili kuwania safasi ya kucheza hatua ya makundi baada ya kuondoshwa katika ligi ya Mabingwa Africa na Wabotswana Township Rollers.

 

Sambaza....