Kuhusu kumsajili Mayele Simba Mohamed Dewji amesema hajui mkataba wake na Yanga upoje lakini kama benchi la ufundi Simba watamtaka na yeye mwenyewe atakua tayari basi anakaribishwa Simba.
Baada ya klabu ya Yanga kuanza vurugu za usajili na Azam fc mashabiki wengi wa Simba wamekua wakisubiri kwa hamu kuona maboss wa Msimbazi wakijibu mapigo kwa kutambulisha nyota wapya
Baada ya kutolewa katika mashindano hayo ya kimataifa kwa sasa Simba imejipanga kuhakikisha inatetea taji lake la ligi kuu Tanzania bara, huku ikianza vizuri kwa ushindi wa goli 3-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kwanza wa ligi.
7-8-2019- Chakula cha usiku cha pamoja (Klabu ya Simba na Klabu ya Power Dynamos) na kisha kuwaaga wageni na kuwashukuru wadhamini wote waliofanikisha tukio la SportPesa Simba Week 2019.
MO ana ndoto kubwa lakini hatujui ni muda gani atatumia kufanikisha ndoto hizo kuwa kweli! Labda ni wakati sasa wa MO kusema malengo ya muda mfupi ya klabu yatatumia muda gani.