Ligi KuuYametimia leo ndio leo!Thomas Mselemu2 years agoHii ni mechi special na ndio maana kila kitu ni special kuelekea mchezo huu.
Ligi KuuKaze: Kesho ni mechi “special”.Thomas Mselemu2 years agoKesho tunaenda kutafuta point 3 hatuendi kutafuta "unbeaten". Tunakwenda kulinda malengo yetu tuliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu."
Ligi KuuVikosi vya Simba na Yanga vipo hivi!Thomas Mselemu2 years agoChama hajacheza mechi ya ushindani kwa takribani wiki mbili kutokana na kutotumika katika mchezo wa shirikisho
Ligi KuuNakubaliana na uteuzi wa Ramadhani Kayoko kuamua Derby ya Kariakoo.Tigana Lukinja2 years agoNimemfahamu bwana mdogo Kayoko miaka kadhaa takribani 10 akianza career yake ya uamuzi,
Ligi KuuManara: Nitaachana na usemaji!Thomas Mselemu2 years agoWakati ukifika nitaitisha press na ntaeleza kila kitu.
Ligi KuuManara: Inonga bonge la beki.Thomas Mselemu2 years agoKuna wakati anafanya jambo ili awafurahishe mashabiki,
Ligi KuuAli Kamwe: Mabeki wa Namungo waliizawadia Yanga ushindi.KandandaTz2 years agoAGGREY MORRIS Mayele alishathibitisha ili umzuie inahitaji AKILI, NGUVU NA UMAKINI MUDA WOTE
Ligi KuuKocha Yanga rasmi kuikosa derby, Yondani nae yumo!Thomas Mselemu2 years agoMiongoni mwa mechi atakazozikosa Nabi ni pamoja na mchezo wa Watani wa Jadi utakaopigwa April 30
Ligi KuuYanga na Namungo ni vita ndani ya vita kwa Mkapa.Tigana Lukinja2 years agoHivyo very possible kupata magoli wote wawili kwenye mechi hii na kufanya mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora kuwa ng'adu ng'adu kwa wawili hao.
Ligi KuuYanga yapelekwa Kigoma!Thomas Mselemu2 years agokatika mzungungo wa pili wa Ligi ambapo katika mzungungko wa kwanza Yanga walishinda mabao matatu kwa moja katika uwanja wa Benjamin Mkapa.