Kwa kikosi hiki unaona kabisa kazi kubwa inabaki kwa mwalimu Zlatiko na msaidizi wake Mwambusi kuandaa na kutengeneza muunganiko wa wachezaji ili kuleta tija uwanjani
Katika Chuji mmoja ulikua unaweza kupata viungo watatu kwa maana ya kiungo wa ulinzi, kiungo mchezeshaji na kiungo mshambuliaji, jamaa soka alilijua na lenyewe likamjua.