Ligi KuuMayele alistahili kupiga penati.Thomas Mselemu2 years agoNi kwa mara ya kwanza katika msimu huu Yanga imecheza michezo mitatu mfululizo bila kutoka na ushindi na bila kufunga bao lolote
Ligi KuuKaze au Mayele alaumiwe kwa sare hizi mfululizo?Tigana Lukinja2 years agoUnadhani kuna mpango wa pamoja toka kwa benchi la ufundi na wachezaji labda wakiwemo na viongozi wa kumwandaa na kumtengenezea Mayele.
Ligi KuuYanga yashindwa kuvunja gereza, Mayele aweka rekodi.Thomas Mselemu2 years agoNi kwa mara ya kwanza Yanga wanacheza michezo mitatu mfululizo bila ushindi
Ligi KuuGoli la Ruvu halikua halali?Thomas Mselemu2 years agoMsililize hapa Tigana Lukinja akilielezea kwa ufasaha tukio lile.
Ligi KuuMasau Bwire: Mayele alikua anahangaika uwanjani!Thomas Mselemu2 years agoMayele mliesema anatetema nilisema atatetemeka kwa hofu na mashaka na ndicho kilichotokea uwanjani.
BlogKwanini Boban Hakuyapenda Maisha Ya Ulaya…?KandandaChat2 years agoYumkini Haruna Moshi alishawishiwa kutokukipenda ambacho kingemsaidia maishani. Soma stori hii
Ligi KuuSimba Mtwara, Yanga Kigoma!Thomas Mselemu2 years agoBaada ya suluhu katika dimba la Benjamin Mkapa, sasa vigogo hao watapaswa kuendelea na majukumu mengine.
Ligi KuuSimba ilinyimwa penati halali?Thomas Mselemu2 years agoNini mtazamo wako kwa mwamuzi Ramadhani Kayoko aliechezesha mchezo huo, aliumudu mchezo inavyostahili?
Ligi KuuKocha Yanga: Tulifanya makosa, Simba ni hatari!Thomas Mselemu2 years agoSimba ni wazuri kwenye winga zao wana wachezaji wazuri ambao wakiwa mmoja dhidi ya mmoja na ndio maanaa hatukuwaacha kina Sakho na Morrison wakutane na hiyo situation.
Ligi KuuMkude ni rekodi juu ya rekodi katika “Derby” ya KariakooTigana Lukinja2 years agoPia ni mhanga wa kadi nyekundu katika moja ya mechi za kariakoo derby pale Estadio de Mkapa Leo ananenda kutuendikia rekodi.