Ligi KuuKipa Dodoma katolewa tuu kafara!Tigana Lukinja2 years agoNdani ya miaka miwili unataka kuniambia ameisha kabisa? Je hatupaswi kumshukia kocha wake wa makipa?
Ligi KuuAlli Kamwe: Yanga imeifunga Yanga B!Thomas Mselemu2 years agoBao la 2 la Yanga ni OFFSIDE. Kama Shuti la Mauya lingekwenda moja kwa moja, hakuna tatizo.
ASFCKombe la FA: Ni fainali ndani ya fainali.Tigana Lukinja2 years agoMchezo wa nusu fainali ni utakua na hadhi, ukubwa na umaarufu kuliko fainali yenyewe kutokana na aina ya wapinzani watakaokutana.
ASFCYametimia wanakutana tenaThomas Mselemu2 years agoTangu kombe hili lirudi Simba amekua na historia nzuri mbele ya mwenzake, katika michezo mitatu yote Simba ameshinda
Ligi KuuKocha Yanga: Kesho tunacheza mechi mbili.Thomas Mselemu2 years agoYanga wakaua makao makuu ya nchi Jijini Dodoma kupepetana na Dodoma Jiji katika Ligi Kuu ya NBC.
TetesiManara ataja timu atakayokwenda Morrison.Thomas Mselemu2 years agoKila lakheri huko uendako, kwa taarifa nilizozipata mida hii najulishwa unaelekea klabu kubwa Barani Afrika
UhamishoSimba yatangaza rasmi kuachana na MorrisonThomas Mselemu2 years agoKumekuwepo na tetesi zinazomuhusisha Benard Morrison kurejea klabu yake ya zamani Yanga ambayo aliitumikia kabla ya kujiunga na Simba.
ASFCSimba: Pamba wazuri, tunaitaka Yanga.Thomas Mselemu2 years agoTunajua kwamba kila mmoja analitazama hili kombe (kombe la FA) kutokana na umuhimu wa kuweza kuwa nalo na ni kombe ambalo lipo mikononi mwetu
Ligi KuuKwa Yanga hii ubingwa upo palepale!Thomas Mselemu2 years agopresha ya ubingwa kuanza kutawala kuanzia kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji wa Yanga.
UhamishoKibwana: Inawauma lakini nipo Yanga!Thomas Mselemu2 years agoUwepo wa Kibwana Shomary tena kwa miaka miwili Yanga kunahatarisha nafasi za walinzi wa kushoto wa Yanga pia kina Yassin Mustapha na Bryson Raphael.