Ligi KuuMkwasa: Tutawapiga wababe wa Simba!Thomas Mselemu4 years agoTunajua mechi itakua ngumu lakini sisi tumejiandaa Yanga ni timu kubwa na ina mashabiki wengi tuna imani tutapata matoekeo mazuri na ndio lengo letu.
BlogSimba na Yanga hawana hela ya kumlipa ShongaaMartin Kiyumbi4 years agoKocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael amethibisha kuwa alifanya mawasiliano na wakala wa nyota wa Orlando pirates, Justin Shonga...
ASFCSimba yapata pakulipia kisasi kwa YangaThomas Mselemu4 years agoKatika draw hiyo Simba na Yanga huenda zikakutana katika mchezo wa nusu fainali endapo watashinda mechi zao za robo fainali
Hakuna mchezaji mwenye CORONA YangaMartin Kiyumbi4 years agomipira ambayo inatumika mazoezini itakuwa inapuliziwa sanitizer
StoriMrithi Mrisho Ngassa awe Dickson AmbundoMartin Kiyumbi4 years agoMrisho Ngassa bado yupo Yanga , hana nguvu sana ukilinganisha na nguvu alizokuwa nazo misimu mingi iliyopita
UhamishoMeneja: Hakuna aliefika bei kwa Mwamunyeto.Thomas Mselemu4 years agoKama mchezaji mzawa yupo vizuri apewe haki yake tusifanye biashara kwa kujuana. Mpira hauna siri uwezo wa Bakari unaonekana uwanjani.
StoriMakapu: Kitabu bora katika maktaba ya Yanga!Ze Mafia4 years agoNi Luc Eymael kocha Mbeligiji aliyezama maktaba ya Yanga na kukichukua kitabu hicho bora (Makapu).
Kwa mazoezi haya ya Molinga , Kagere ajipange !Martin Kiyumbi4 years agoMshambuliaji wa Yanga, David Molinga, alitabiriwa na kocha wake wa zamani Mwinyi Zahera kuwa ni lazima afunge mabao 15 msimu...
TetesiKiungo Prisons: Yanga ni kama nyumbani.Thomas Mselemu4 years agoYanga ni kama nyumbani kwangu maana nilipita pale katika timu ya vijana hivyo sina shida ya kurejea tena pale.
BlogKina Morrison , Kagere kupimwa Corona !Martin Kiyumbi4 years agoLigi kuu Tanzania bara mpaka sasa hivi iko njiani kurudi tena. Wakati tunasubiri wakati sahihi wa kurudi ligi hii na...