StoriJinsi Yanick Bangala Alivyobadili Maisha Yake Isivyoelezeka.Tigana Lukinja9 months agoNi ngumu sana kuzungumza kuhusu Young Africans wakati ule pasipo Yanick Bangala lakini sasa imekuwa hivyo
UhamishoMwingine Atimka Yanga na Kutua Afrika KusiniMwandishi Wetu10 months agoalisaini mkataba wa kujiunga nao kabla ya msimu mpya na ameanza mchakato wake wa kupata kibali cha kufanya kazi na kukimbia kabla ya kuhamia Afrika Kusini rasmi.
TahaririYanga Katika Ndoto ya Kutisha Iliyo Kwenye Maono ya Gamondi.Vicent Crement10 months agoMiguel Gamondi amebeba siri nzito, Gamondi amebeba ndoto za kutisha za Wananchi, Gamond anakibarua kizito cha kutafsiri ndoto hizo za kuogofya.
StoriYanga: Huyu Musonda Sio Mshambuliaji wa KawaidaMwandishi Wetu10 months agoLakini isiwe tunahitaji mshambuliaji mpya kwa sababu ya watu fulani wasiojua mpira kumchukulia poa Musonda
TahaririMaisha Yamemuendea Kasi BangalaAbdul Mkeyenge10 months agoSjui nini kitokee ili Bangala awe sehemu ya Yanga SC msimu ujao. Klabu za mpira zinaendeshwa Kibepari, sio kijamaa.
StoriYanga Yavunja Kabati, Yaweka Rekodi kwa Mkapa,Mwandishi Wetu10 months agoPia walitoka Sure boy na Mzize na nafasi zao zilichukuliwa na Aucho pamoja na Aziz Ki hivyo kufanya wachezaji wote kucheza.
StoriWananchi Hii ImeendaMwandishi Wetu10 months agoTayari klabu ya Yanga imeshatambulisha wachezaji wao wapya pamoja na jezi mpya lakini hii bado haiondoi shauku kwa mashabiki
StoriKocha Yanga: Hapa Tumepata Kipimo Halisi.Mwandishi Wetu10 months agoGamondi atapata kipimo halisi kutoka kwa Amakhosi ambao nao wamepania kufanya vyema msimu ujao baada ya kumaliza nje ya nne bora msimu uliomalizika.
StoriKaizer Chiefs: Simba ni Kubwa Kuliko Yanga Lakini Hatuwachukulii Poa.Mwandishi Wetu10 months agoSisi ni klabu kubwa nchini Afrika Kusini yenye mashabiki wengi. Ni wazi mashabik wanaifuata klabu popote inapokwenda.
UhamishoNi Sababu za Nje ya Uwania Ndio Zimemleta Winga Mpya YangaMwandishi Wetu10 months agoHata hivyo imefahamika Yanga walimkosa mchezaji wake chaguo la kwanza Ranga Chivaviro, ambaye Kaizer Chiefs ilimnyakua