Blog

02:00Asb: Hofu wa Mipira ya Juu

Sambaza....

Gwiji wa Arsenal, Denis Bergkamp alizikosa mechi za ugenini za Arsenal sababu ya hofu yake ya kupanda ndege, na si mipira ya juu. Hii ndo sababu baadhi ya mashabiki wa Arsenal humuita “Mholanzi asiyepaa”.

Muholanzi huyo ilimbidi kupanda treni katika mechi za ugenini za Arsenal na sio ndege na wenzake, hii ilitokana na hofu aliyoipata wakati mmoja alipopanda ndege.

Bergkamp aliwahi kupanda ndege siku moja na ikapata hitilafu hivyo rubani wa ndege akatangaza tahadhari hiyo lakini ndege ile ilitua salama. Tangu hapo hakutana tena kusikia kuhusu ndege.


Sambaza....