Blog

02:00Asb: Idadi kubwa ya Kadi

Sambaza....

Kadi thelathini na sita (36) nyekundu zilitolewa katika mchezo uliowakutanisha Claypole na Victoriano Arenas mwaka 2011. Katika mechi wachezaji wote uwanjani, benchi na walimu wao walilimwa red card baada ya vurugu kuibuka.


Sambaza....