Blog

02:00Asb: Unaongea lugha ngapi?

Sambaza....

Simon Mignolet, kipa wa zamani wa Liverpool anazungumza lugha tano tofauti na ana shahada ya siasa.

Jamaa licha ya kulinda goli anagonga Kidachi, Kifaransa, Kinyamwezi(Kiingereza) na Kijerumani.

Shahada yake ya Siasa aliipata katika chuo kikuu cha Kikatoliki cha Leuven.


Sambaza....