
 
Nchimbi alijiunga ba klabu ya Yanga katika dirisha la Januari akitokea Polisi FC. Msimu wa 2018/19 aliifungia klabu hiyo mabao manne, na msimu huu wa 2019/20 aliifunga Polisi Fc bao nne kabla kujiunga na Yanga Sc.
Nchimbi alikuwa pia Galacha wa Magoli mwezi Oktoba aliifugia klabu yake mabao matatu (Hat-Trick) aliyowafunga Yanga.

- Name
 - Ditram Nchimbi
 - Utaifa
 
Tanzania- Nafasi
 - Mshambuliaji
 - Sasa
 - Yanga SC
 - Zamani
 - Polisi Tanzania, Njombe Mji, Mwadui FC, Azam FC
 - Ligi
 - TPL
 - Misimu
 - 2017-2018, 2018-2019, 2019-2020, 2020-2021
 
Matokeo
														   							
														1 - 0Uhuru Stadium KMC FC vs Yanga SC | 
					
														   							
														2 - 0Uwanja wa Mkapa Yanga SC vs Alliance FC | 
					
														   							
														0 - 1Uwanja wa Mkapa Ruvu Shooting vs Yanga SC | 
					
														   							
														1 - 0Polisi Tanzania vs Alliance FC | 
					
														   							
														3 - 3Uhuru Stadium Yanga SC vs Polisi Tanzania | 
					
														   							
														3 - 0Mwadui Complex Mwadui FC vs African Lyon FC | 
					
														   							
														2 - 2Samora Lipuli FC vs Mwadui FC | 
					
														   							
														3 - 0Mwadui Complex Mwadui FC vs Ndanda FC | 
					
														   							
														3 - 0Azam Complex Azam FC vs Ndanda FC | 
					
														   							
														2 - 0Azam Complex Azam FC vs Mbeya City | 
					












