2 Ditram Nchimbi

Sambaza....

Nchimbi akiwa na zawadi zake baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi wa 10 Ligi Kuu wakati akiwa Polisi Tanzania

Nchimbi yupo, na kapata kiatu chake tayari

Nchimbi alijiunga ba klabu ya Yanga katika dirisha la Januari akitokea Polisi FC. Msimu wa 2018/19 aliifungia klabu hiyo mabao manne, na msimu huu wa 2019/20 aliifunga Polisi Fc bao nne kabla kujiunga na Yanga Sc.

Nchimbi alikuwa pia Galacha wa Magoli mwezi Oktoba aliifugia klabu yake mabao matatu (Hat-Trick) aliyowafunga Yanga.

 

Name
Ditram Nchimbi
Utaifa
tanTanzania
Nafasi
Mshambuliaji
Sasa
Yanga SC
Zamani
Polisi Tanzania, Njombe Mji, Mwadui FC, Azam FC
Ligi
TPL
Misimu
2017-2018, 2018-2019, 2019-2020, 2020-2021

TPL

MsimuTimu
2017-2018Azam FC0000000
2018-2019Mwadui FC4000000
2019-2020Yanga SC6010010
Jumla-10010010

Sambaza....