Blog

Alhly alichapwa kwao na Pyramid

Sambaza....

Kesho Yanga watawakaribisha Pyramid FC ya Misri kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika. Pyramid FC ambao wanaonekana wananguvu kubwa iwe ugenini au nyumbani kwao.

Mechi kumi na mbili (12 ) zilizopita Pyramid amefanikiwa kushinda mechi nane (8 ), na akafungwa mechi moja tena dhidi ya Zamaleki huku akitoka sare mechi tatu (3). Huku kwenye mechi hizo kumi na mbili (12) amepoteza mechi moja(1) tu ya ugenini na kushinda mechi tatu (3 ) za ugenini ikiwemo mechi dhidi ya mabingwa wa kihistoria wa ligi ya mabingwa barani Afrika Alhly.

Matokeo yote ya Pyramid FC katika mechi kumi na mbili (12) zilizopita ni kama ifuatavyo.


Pyramid vs etol de Cong 4-1
Alhly vs pyramid 0-1
Etol Congo vs pyramid 0-1
Pyramid vs el hadood 2-0
Pyramid vs project 2-0
Zamalek vs pyramid 3-0
Pyramid vs Ennpi 4-0
Cr benezud vs pyramid 1-1
Tanta vs pyramid 1-2
Pyramid vs elgaesh 2-2
Pyramid vs smoha 0-0
El entagy vs pyramid 2-3
Yanga vs pyramid?????


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.