Tetesi

Breaking news zote ambazo hazithibitishwa au ni Umbea tu wa mtaani. Ikiangalia masuala yanayohusu mpira wa miguu pekee tu. Kandanda hufanya utafiti kwenye baadhi ya habari hizi na kuzitolea ufafanuzi sahihi.

Tetesi

Tshishimbi arudisha pesa za GSM

Bado sakata la Papy Kabamba Tshishimbi na klabu yake ya Yanga linazidi kupamba moto. Nahodha huyo wa Yanga mkataba wake unaisha mwezi huu na hakuna taarifa sahihi ya yeye kuongeza mkataba mpya na klabu yake hiyo. Wiki hii kaimu katibu mkuu wa Yanga , Patrick Saimon alidai kuwa wamempa Papy...
Tetesi

Yanga yamtaka SUREBOY

Baada ya kuonekana kuzidiwa kete na Azam FC kwenye usajili wa kiungo wa zamani wa Kagera Sugar , Awesu Awesu , Yanga imeamua kuhamia kwa nahodha msaidizi wa Azam FC Abubakar Sureboy . Kiungo huyo mshambuliaji amekuwa na timu ya Azam FC tangu daraja la kwanza mwaka 2008 mpaka msimu...
Tetesi

Makambo kutimkia Simba ?

Klabu ya Yanga inaweza kuzidiwa mbio za kumsajili aliyewahi kuwa mshambuliaji wao wa zamani Heritier Makambo baada ya Simba kuingia kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji huyo ambaye kwa sasa anakipiga Horoya FC ya Guinea. Taarifa za ndani zinadai kuwa Herieter Makambo anawindwa kwa udu na uvumba na mabingwa wa soka...
Tetesi

Awesu Awesu huyooo YANGA

Msimu wa ligi kuu wa mwaka 2019/2020 uliomalizika mwishoni mwa wiki jana  Kagera Sugar ilikuwa ni moja ya timu ambayo ilionesha kiwango na ushindani mkubwa sana kwenye ligi chini ya kocha wao Mecky Mexime. Mecky Mexime alifanikiwa kuijenga timu ikawa inacheza kitimu zaidi huku baadhi ya wachezaji wakionesha kiwango kikubwa...
Tetesi

Ninja kurudi Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa anamtazama kwa ukaribu beki wa zamani wa timu hiyo, Abadlah Shaibu ‘Ninja’ ili kuona kama anaweza kufiti kwenye mfumo wake kabla ya kuruhusu asaini dili ndani ya klabu hiyo. Ninja alikitumikia kikosi cha Yanga msimu wa 2018/19 kabla ya kuondoka na kutua...
1 7 8 9 10 11 16
Page 9 of 16