Tetesi

Breaking news zote ambazo hazithibitishwa au ni Umbea tu wa mtaani. Ikiangalia masuala yanayohusu mpira wa miguu pekee tu. Kandanda hufanya utafiti kwenye baadhi ya habari hizi na kuzitolea ufafanuzi sahihi.

Tetesi

Yanga kuibomoa Mtibwa, yamtaka Abdulhalim Humuod

  Ligi imesimama kwa sasa , kinachoendelea ni majadiliano ya namna gani ambavyo ligi itaweza kurudi tena baada ya kusimama kutokana na janga la Covid-19, janga ambalo limeikumba dunia nzima kwa sasa. Wakati dunia ikiwa ndani na vitu vingi vikiwa vimesimama kwa kiasi kikubwa , tetesi za usajili zinaendelea kuwepo...
Tetesi

Kagere na Mkude hawaendi kokote -Manara

  Kumekuwa na taarifa nyingi sana ambazo kuhusu baadhi ya wachezaji wa klabu ya Simba kuondoka Simba na kwenda kujiunga katika vilabu mbalimbali ndani na nje ya nchi . Hivi karibuni kulikuwepo na taarifa ya mshambuliaji hatari wa Simba , Meddie Kagere kutakiwa na vilabu mbalimbali nchini Hispania . Taarifa...
Tetesi

Ronaldo anarudi zake Madrid!

Ripoti nchini Italia zimesema kwamba Juventus itakua tayari kumuacha Ronaldo ajiunge tena na Madrid ili kujaribu kupunguza mzigo wa kifedha kwenye klabu unaosababishwa na janga la virusi
Tetesi

Rasmi James Kotei kutua Yanga leo

Baada ya kuwepo na tetesi kuhusu James Kotei kutemwa na klabu yake ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini,  Leo hii imedhibitishwa kuwa James Kotei atakuwa katika ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga. Kiungo huyo wa zamani wa Simba anatarajiwa kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria...
Tetesi

Norwich yambakiza kidogo Samatta

Watanzania wengi wamekuwa na hamu ya kumuona Mbwana Samatta akiwa kwenye ligi ya England ligi ambayo inafuatliwa na watu wengi duniani. Na ndiyo ligi pendwa hapa nyumbani Tanzania. Norwich wanaonekana kuhitaji huduma ya Mtanzania huyo anayekipiga KR Genk kwa sasa . Norwich imeshapeleka ofa mbalimbali kwenye timu ya KR Genk...
Tetesi

David Molinga kutemwa Yanga

Baada ya Jana David Molinga kutoonekana hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba wa Yanga na kuacha maswali mengi kuhusiana na tukio hilo kuna Habari kuwa uongozi wa Yanga wanampango wa kuachana na mchezaji huyo. Mchezaji huyo ambaye yuko kwa mkopo katika klabu hiyo ya Yanga ,inaelezewa kuwa viongozi mbalimbali...
1 9 10 11 12 13 16
Page 11 of 16