Tetesi

Breaking news zote ambazo hazithibitishwa au ni Umbea tu wa mtaani. Ikiangalia masuala yanayohusu mpira wa miguu pekee tu. Kandanda hufanya utafiti kwenye baadhi ya habari hizi na kuzitolea ufafanuzi sahihi.

BlogTetesi

Yondani kurudishwa Yanga

Taarifa mpya ni kuwa beki mkongwe Kelvin Yondani anaweza kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo mpya na uongozi wa Yanga Yondani na Juma Abdul walikuwa katika mpango wa kikosi cha Yanga kuelekea msimu ujao hata hivyo wachezaji hao waligomea ofa walizopewa awali na hivyo kuruhusiwa wakatafute changamoto mahali pengine Inaelezwa...
Tetesi

Huyu ndiye mrithi wa Luc Eymal

Wengi tunafahamu kuwa Luc Eymael siyo kocha tena wa Yanga baada ya Yanga kumfukuza kutokana na kutoa maneno ambayo yalikuwa yana chembechembe za ubaguzi. Watu wengi walikuwa wanasubiri ni kocha yupi ambaye angekuja kuchukua nafasi aliyoiacha Luc Eymael ambaye ni raia wa nchini Burundi ambaye ni Cedric Kaze. Luc Eymael...
Tetesi

Auseems kutambulishwa Yanga

Kile kishindo alichotangaza msemaji wa Yanga Antonio Nuggas huenda ndio kanakaribia kutimia. Tuendelee kuweka bando tuu na kuendelea kufuatilia tovuti ya Kandanda kwa habari zaidi za usajili.
Tetesi

Namungo yavamia tena Lipuli!

hakumaliza msimu vizuri na klabu yale ya Lipuli baada ya kutofautiana na uongozi na hivyo kupelekea kushindwa kujiunga na timu kumalizia Ligi baada ya mapumziko ya ugonjwa wa corona kumalizika.
Tetesi

Tshishimbi amfuata Morrison SIMBA

Baada ya mshambuliaji wa Yanga , Bernard Morrison kwenda katika klabu ya Simba , aliyewahi kuwa kiungo wa klabu hiyo Papy Kabamba Tshishimbi yuko njiani kuelekea Simba. Papy Kabamba Tshishimbi ambaye amemaliza mkataba wake na Yanga. Mazungumzo ya mkataba mpya kati yake na Yanga kuhusu mkataba mpya yalishindikana hivo wakaachana...
Tetesi

Gwambina FC kumleta Mwinyi Zahera

Timu ya Gwambina FC iliyopanda ligi kuu msimu huu inaendelea kujiimarisha kuelekea katika msimu mpya kwa kufanya sajili mbalimbali kwenye kikosi chao. Kuna taarifa ambazo zinadai kuwa aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera anatazamiwa kurudi nchini kuifundisha timu hiyo ya Misungwi , Mwanza. Kocha huyo ambaye alidumu na...
1 5 6 7 8 9 16
Page 7 of 16