Blog

Kikosi cha Taifa Stars kuelekea Nigeria mwaka 1980.

Sambaza....

Makipa


Juma Pondamali “Mensah”
Idd Pazi “Faza”
Athuman Sweddy Mambosasa.

Iddi Pazzi (Picha ya 2019)

Walinzi:


Leopold Tasso Mukebezi
Daudi Salum “Bruce Lee”
Ahmed Thabit “Amasha”
Leodgar Chilla Tenga
Jellah Mtagwa
Salim Amir
Rashid Idd “Chama”
Hassan Zitto
Mohamed Kajole.

Salim Amir
Bruce Lee (Picha ya 2019)
Mukebezi (Picha ya 2019)

Viungo:


Juma Mkambi “General”
Mtemi Ramadhan “Chief”
Hussein Ngulungu
Mohamed Rishard “Adolf”
Willy Kiango

Washambuliaji:


Peter Tino “Osgood”
Mohamed Salim
Omar Hussein “Keegan”
Thuwein Ally
Charles Alberto

Peter Tino (Picha ya 2019)

Benchi la Ufundi:
Slamielk Wolk – Head Coach (Polish)
Joel Bendera – Asst Coach
Abdallah Mwinyimkuu – Manager
John Kata la – Physio.

Kundi tulilopangiwa, Kundi  “A”
Nigeria
Egypt
Ivory Coast
Tanzania

Matokeo:


Tanzania 1 – Nigeria 3
Tanzania 1 – Egypt 2
Tanzania 1 – IvoryCoast 1

Tulifanikiwa kupata kila mechi goli moja, tulifungwa mechi mbili draw moja. Sasa tunatakiwa tufanye vizuri zaidi ili tusonge mbele. Kila la Kher Taifa Stars.

-kutoka katika mitandao-


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.