Makambo (Kushoto) kwenye mechi dhidi ya Mbeya City, msimu 2018/19.
Blog

Makambo awaaga mashabiki

Sambaza....

Mshambuliaji tegemeo wa klabu ya Yanga, Heritier Makambo, amekiri kuwa yeye mambo yake na Horoya FC yamekamilika na yupo tayari kuondoka.

“Mimi naipenda Yanga sana…Mambo yangu yote na Horoya yameshaisha”  Makambo alisema haya wakati akihojiwa na kituo cha luninga cha AZAM mara baada ya mchezo wa  Yanga SC 1-0 Mbeya City FC kumalizika.

Makambo akiwa katika klabu ya Horoya

Katika mchezo huu, makambo ndio alikuwa mfungaji wa bao pekee hilo.

Tazama hapa orodha ya mechi alizofunga magoli yake 17 hadi sasa katika ligi kuu ya Tanzania bara.

Ngao ya Jamii

MsimuTimu
Jumla-

TPL

MsimuTimu
2018-2019Yanga SC17000000
Jumla-17000000


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.