Baada ya msimu kumalizika na kuibuka Galacha wa mabao kwa mabao yake 23 msimu huo wa 2018/2019 Meddie Kagere alikabidhiwa tuzo yake ya ufungaji bora na tovuti ya Kandanda.co.tz .
Kwa msimu huu tuu tayari Ligi yetu imetoa zaidi ya wachezaji watatu waliokwenda katika nchi zilizoendelea kisoka na hivyo kuongeza thamani ya Ligi yetu na kufanya izidi kufwatiliwa na mawakala zaidi.