Stori

Manzese na Kariakoo wafikiwa na Mr Jackpot

Sambaza....

Mama Ntilie ambao wanapatikana mitaa ya Manzese na Kariakoo wakijishughulisha na masuala ya upishi wa vyakula imekua furaha kubwa sana kwao leo ambapo timu ya Meridianbet imewafikia na kuweza kutoa Aprons kwa kina mama hao ziwasaidie kwaajili ya maandalizi ya chakula.

Kama tunavyojua kila mtu anapenda kula chakula ambacho kimeandaliwa kwenye mazingira safi na salama hata pale ambapo anakula chakula hicho asiwe na wasiwasi wa kula chakula ambacho si salama na mwisho wa siku kikamletea magonjwa kama vile kuharisha, kipindupindu na mengine mengi.

 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Na kuhakikisha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

Kina mama wa maenao ya Kariakoo na Manzese walifanikiwa kutoa shukrani zao kwa Kampuni ya Meridianbet kwa msaada walioutoa kwao na mmoja wao ni Mama Juice K/Koo alisema “Nimefurahi sana kupewa kitendea kazi kama hichi, ambapo kwenye biashara yangu hii ya kuuza Juice itanisaidia kulinda mazingira na usafi wa mwili. Pia nawasihi wafanyabiashara wenzangu tuwaunge mkono Meridianbet katika huduma zao kwa kwakuwa na wao wanatukumbuka sana sisi wafanyabiashara”


Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Sambaza....